fund xaa JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 253 Reaction score 90 Apr 26, 2017 #1 habari za saizi wakuu mimi ni kijana wa miaka kumi na nane naomba msaada wa kufundishwa umeme wa magari nipo mkoani iringa atakae weza kunifundisha bure sawa.
habari za saizi wakuu mimi ni kijana wa miaka kumi na nane naomba msaada wa kufundishwa umeme wa magari nipo mkoani iringa atakae weza kunifundisha bure sawa.