Msaada

lovenessy

Senior Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
105
Reaction score
68
tatazo la kutoka na vipele vigumu kwenye mashavu ya uke muda mwingine vinawasha muda mwingine haviwashi dawa nyingi zimedunda
 
Dawa zipi hizo ulizotumia hadi zikadunda?hiyo hali ina muda gani?na umewahi fanya vipimo gani?
 
Huo ni ugonjwa unaoitwa warts, kimbilia hospitali haraka!
 
Usigekuwa ulikuwa unakatia kachumbari huko na kuweka ndimi na tangawizi kisa kuniridhisha mimi!...mnk utandawazi huu umetuharibu kweli
Ni ukosefu wa nidhamu na ustaarabu unapoleta mizaha kwenye mambo muhimu ya kiafya.

Tujifunze kuwafariji wagonjwa kwa maana kabla hujafa hujaumbika...

Usijesema sijakushauri.
 
Huo ni ugonjwa wa warts, dawa ninayo kabla haijawa sugu piga 0762208190
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…