Msaada

Msaada

mind ur bussness

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
1,050
Reaction score
741
Kuna best yangu Mmoja ana dem wake, yule mdada kapata ujauzito na baada ya kwenda kupima damu akakutwa na group lenye resus factor negative.
na ameambiwa anatakiwa achomwe sindano ya ANT DOTE.

Sasa kwa madaktari wa jf naomba kuuliza kama hii sindano iko kweny BIMA au lah.

Na ni madhara gan ambayo yanaweza kuja kujitokeza baadae ktk suala zima la uzazi..

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si useme tu kua ni dem wako wewe? kwanini uzunguke mbuyu?
 
Back
Top Bottom