mind ur bussness
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,050
- 741
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ngoja wataalam waje
Sasa si useme tu kua ni dem wako wewe? kwanini uzunguke mbuyu?Kuna best yangu Mmoja ana dem wake, yule mdada kapata ujauzito na baada ya kwenda kupima damu akakutwa na group lenye resus factor negative.
na ameambiwa anatakiwa achomwe sindano ya ANT DOTE.
Sasa kwa madaktari wa jf naomba kuuliza kama hii sindano iko kweny BIMA au lah.
Na ni madhara gan ambayo yanaweza kuja kujitokeza baadae ktk suala zima la uzazi..
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Oohhoo hivyo tenaHaipo mkuu, na hii haihitaji madaktari kukujibu Bali wasiliana na wakala wa Bima husika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida tu mkuu, chukulia poa cha msingi tuangalie content ya thread.Sasa si useme tu kua ni dem wako wewe? kwanini uzunguke mbuyu?