Msaada

Msaada

Nenda kituo cha mawasiliano
Panda gari za bunju
Kaa upande wa konda
Mwambie naelekea Rabinsia sipafahamu
Atakushusha kituo husika
Ni tegeta kwa mbele kidogo
Upande huohuo ulioshuka sogea mbele kidogo utaona jengo lao ni ghorofa
Unawezauliza watu wakakuonyesha pia
 
Nenda kituo cha mawasiliano
Panda gari za bunju
Kaa upande wa konda
Mwambie naelekea Rabinsia sipafahamu
Atakushusha kituo husika
Ni tegeta kwa mbele kidogo
Upande huohuo ulioshuka sogea mbele kidogo utaona jengo lao ni ghorofa
Unawezauliza watu wakakuonyesha pia
[emoji41]
 
Back
Top Bottom