Andrew Theguyz
Member
- Aug 28, 2017
- 16
- 12
Kwa anae jua nna cmu yang Vodafone 7min ilkua ina smubua kweny camera nika jarbu ku i reboot ss nangaa ina sumbu inatak ni andike email nimeiandka lakn imekataa kufnguka badala yke ina niambie nisubir mpka ma saa 24 yapit ,sas inaweza kukubal iki flashiwa au itakataa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app