Jiwejeusi JF-Expert Member Joined May 3, 2011 Posts 754 Reaction score 131 May 5, 2011 #1 Jamani, naomba msaada wa kisheria kwa ajili ya kupata malipo ya bima ya ajali iliyogharimu maisha ya mjukuu wangu. Gari lililomgonga halikuwa na bima. Je nitafunguaje kesi ya madai hayo.
Jamani, naomba msaada wa kisheria kwa ajili ya kupata malipo ya bima ya ajali iliyogharimu maisha ya mjukuu wangu. Gari lililomgonga halikuwa na bima. Je nitafunguaje kesi ya madai hayo.