Fungus (Candidiasis) huwa wanakuwa utando mweupe hivi kama umekunywa maziwa ya mtindi kwenye fizi, ulimi, na kuta za ndani za mdomo...sidhani kama hiyo ni Candidiasis, ambayo japo huwa inatibiwa na Nystatin, lakini sikushauri utumie dawa hiyo kwani sidhani kuwa ni tatizo hilo (kwa maelezo uliyotoa).
Most likely hiyo ni Scurvy (upungufu wa Vitamin C) mwilini, na matibabu yake ni kama alivyokushauri Roulette..in addition, unaweza meza vidonge vya Vitamin C (Ascorbic Acid) na juice zenye Vitamin C (mfano juice za machungwa, maembe, mananasi, passion, ndimu/limao).
Herpes Simplex vipele/vidonda vyake huwa nje ya mdomo kwenye maeneo ya lips kitaalam Herpes Labialis (vile vipele tunavyoita vipele vya homa), sidhani hiyo ni Herpes.
NB: Herpes Simplex haiambukizwi kwa kukiss mtu mwenye Herpes. Haiambukizi kabisaaa. Kinachotokea ni re-activation ya Herpes Simplex Virus ambao wenyewe wanakuwa ndani sana kwenye ganglion za neva (mishipa ya fahamu) ambayo inasimamia eneo hilo. Hivyo haiambukizi.