Msaada

Msaada

Miss muya

Member
Joined
Aug 6, 2017
Posts
49
Reaction score
34
Sorry guys naomba kujuzwa kidogo. Hivi mpangaji akiomba kupatiwa notis ya kutoka kwenye nyumba kwa kushindwa kulipa kodi. Anaweza kwenda tena Baraza la ardhi kuweka zuio la kutoka baada ya muda wa kutoka kufika?? Msaada plz
 
Back
Top Bottom