M Miss muya Member Joined Aug 6, 2017 Posts 49 Reaction score 34 Jan 31, 2018 #1 Sorry guys naomba kujuzwa kidogo. Hivi mpangaji akiomba kupatiwa notis ya kutoka kwenye nyumba kwa kushindwa kulipa kodi. Anaweza kwenda tena Baraza la ardhi kuweka zuio la kutoka baada ya muda wa kutoka kufika?? Msaada plz
Sorry guys naomba kujuzwa kidogo. Hivi mpangaji akiomba kupatiwa notis ya kutoka kwenye nyumba kwa kushindwa kulipa kodi. Anaweza kwenda tena Baraza la ardhi kuweka zuio la kutoka baada ya muda wa kutoka kufika?? Msaada plz