msaada

msaada

kush moker

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2016
Posts
579
Reaction score
367
wadau kwema??nimeng'atwa na n'ge mida hii,,na nimethibitisha baada ya kumuua,,nasikia maumivu makali sana maana ameniuma mkono wa kushoto,huduma ya kwanza ni ipi nijisaidie??
________________________________________________________________________________________________________
wakuu nimerudi tena maana nimeulizia kwa baadhi ya watu wananiambia sumu yake inaua je ni kweli?huku niliko siko karibu na huduma za afya je nikiacha bila kupata dawa yoyote kuna madhara baadae??
 
Nilisikia lakini sijawahi fanya wala kujaribu, waweza jaribu pia alafu ulete mrejesho;
wanasema akikung’ata mchukue mchome alafu jivu lake lipake alipokung’ata.”
 
sijafa ila je anamadhara yanayoweza kutokea baada ya muda fulani??
 
wadau kwema??nimeng'atwa na n'ge mida hii,,na nimethibitisha baada ya kumuua,,nasikia maumivu makali sana maana ameniuma mkono wa kushoto,huduma ya kwanza ni ipi nijisaidie??
________________________________________________________________________________________________________
wakuu nimerudi tena maana nimeulizia kwa baadhi ya watu wananiambia sumu yake inaua je ni kweli?huku niliko siko karibu na huduma za afya je nikiacha bila kupata dawa yoyote kuna madhara baadae??
Kwanza kabisa jifunge kwa juu ili damu isitembee kisha chukua mfupa wa ng'ombe uchome mpaka uwe kama mkaa kisha upooze na uchanje sehemu husika kisha pandika kipande cha mfupa huo
 
Back
Top Bottom