kush moker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 579
- 367
Hana madhara mkuu ni sumu ya kawaida tu ondoa shakawadau kwema??nimeng'atwa na n'ge mida hii,,na nimethibitisha baada ya kumuua,,nasikia maumivu makali sana maana ameniuma mkono wa kushoto,huduma ya kwanza ni ipi nijisaidie??
Hana madhara mkuu ni sumu ya kawaida tu ondoa shaka
Nilisikia lakini sijawahi fanya wala kujaribu, waweza jaribu pia alafu ulete mrejesho;wadau kwema??nimeng'atwa na n'ge mida hii,,na nimethibitisha baada ya kumuua,,nasikia maumivu makali sana maana ameniuma mkono wa kushoto,huduma ya kwanza ni ipi nijisaidie??
Kwanza kabisa jifunge kwa juu ili damu isitembee kisha chukua mfupa wa ng'ombe uchome mpaka uwe kama mkaa kisha upooze na uchanje sehemu husika kisha pandika kipande cha mfupa huowadau kwema??nimeng'atwa na n'ge mida hii,,na nimethibitisha baada ya kumuua,,nasikia maumivu makali sana maana ameniuma mkono wa kushoto,huduma ya kwanza ni ipi nijisaidie??
________________________________________________________________________________________________________
wakuu nimerudi tena maana nimeulizia kwa baadhi ya watu wananiambia sumu yake inaua je ni kweli?huku niliko siko karibu na huduma za afya je nikiacha bila kupata dawa yoyote kuna madhara baadae??