Elkana92 Member Joined Feb 18, 2018 Posts 10 Reaction score 6 Feb 23, 2018 #1 Naomba kusaidiwa kujua jinsi yakuongeza uzito wa mwili
Aalliyah Gulam Heidar Senior Member Joined Oct 3, 2017 Posts 117 Reaction score 155 Feb 23, 2018 #2 Kiafya ni muhimu ujue uzito uliokua nao ni lazima uendana na kimo na umri wako. Ukishajua hili una maamuzi ya kupunguza au kuongeza uzito. Hizi ni baadhi ya njia unaweza kufanya ili kuongeza uzito.Epukana na msongo wa mawazo, kula ushibe aina zote za vyakula na uwe unalala mda mrefu.
Kiafya ni muhimu ujue uzito uliokua nao ni lazima uendana na kimo na umri wako. Ukishajua hili una maamuzi ya kupunguza au kuongeza uzito. Hizi ni baadhi ya njia unaweza kufanya ili kuongeza uzito.Epukana na msongo wa mawazo, kula ushibe aina zote za vyakula na uwe unalala mda mrefu.