Kiafya ni muhimu ujue uzito uliokua nao ni lazima uendana na kimo na umri wako. Ukishajua hili una maamuzi ya kupunguza au kuongeza uzito.
Hizi ni baadhi ya njia unaweza kufanya ili kuongeza uzito.Epukana na msongo wa mawazo, kula ushibe aina zote za vyakula na uwe unalala mda mrefu.