O ombeni Member Joined Mar 24, 2011 Posts 47 Reaction score 2 Jun 5, 2011 #1 Jamani habari za jumapili!nimeanza kufanya mazoezi kwa mwili wangu na sasa ni kama wiki moja lakini MISULI ya mapaja yote inaumasana,naomba Doctors mnipe msaada wa kutuliza maumivu,Nb mimi ni mvulana wa miaka 30.Naomba kuwasilisha asante.
Jamani habari za jumapili!nimeanza kufanya mazoezi kwa mwili wangu na sasa ni kama wiki moja lakini MISULI ya mapaja yote inaumasana,naomba Doctors mnipe msaada wa kutuliza maumivu,Nb mimi ni mvulana wa miaka 30.Naomba kuwasilisha asante.
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,144 Reaction score 6,942 Jun 5, 2011 #2 kawaida hiyo bro... endelea kupiga zoezi kwa ajili ya Afya yako ... baada ya wiki mbili tatu u will be fine inshaAllah..
kawaida hiyo bro... endelea kupiga zoezi kwa ajili ya Afya yako ... baada ya wiki mbili tatu u will be fine inshaAllah..
S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,506 Jun 5, 2011 #3 kawaida hiyo endelea kupiga mazoezi baada muda fulani itaacha...na ukiacha tena itauma,hongera kwa mazoezi
kawaida hiyo endelea kupiga mazoezi baada muda fulani itaacha...na ukiacha tena itauma,hongera kwa mazoezi