Golden felician JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 216 Reaction score 36 Apr 28, 2018 #1 Ipi tofauti kati ya neno "nafsi" na neno "roho"
Kiti Chema JF-Expert Member Joined Oct 18, 2017 Posts 1,793 Reaction score 1,961 Apr 29, 2018 #2 Roho ni kifaa kilicho tuna nafsi. Au Nafsi ni kitu kama hewa au pumzi ikaayo ndani ya roho
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Apr 29, 2018 #3 Kazi kubwa ya nafsi ni kumtofautisha mtu huyu na yule.Kila mtu ni tofauti hapa duniani,japo tupo billion saba lakini hakuna mtu anaefanana na mwingine hata identical twin hawafanani wakati kazi kubwa ya rohoo ni kuweka uhai ndani ya mtu!
Kazi kubwa ya nafsi ni kumtofautisha mtu huyu na yule.Kila mtu ni tofauti hapa duniani,japo tupo billion saba lakini hakuna mtu anaefanana na mwingine hata identical twin hawafanani wakati kazi kubwa ya rohoo ni kuweka uhai ndani ya mtu!