habari wa ndugu,mimi ni kijana na elemu ya degree ya mass communication,nataka kujiendelezaa zaidi,ila tatizo ni kwamba sina kipato cha kuweza kuendelea kufanya master?nina maswali mawili ningeomba kusaidiwa kujuaa zaidi...1}je kufanya master ya marketing au public ralation ipi ni markertable kwa sasaa? 2]je ninjia gani naweza kuzitumia kupata sponsor iwe ya serekali au taasisi au mtu binafsi?naitaji mawazo yenu wana jamvinii...