msaada

msaada

Filbert Marco

Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
9
Reaction score
5
Msaada mwanangu anahalisha ana umri wa miezi 7 nimempeleka hospital kapatiwa vipimo vyote lakin hakuonekana na ugonjwa wowote, hivyo naombeni ushauri kwa yeyete mwenye utaalamu au uzooefu na mambo ya afya hasa kwa watoto
 
Back
Top Bottom