Msaada

Msaada

Hebu funguka mkuu ila hiyo $1000 ni sawa na dollar 1000 ukitaka kuiangalia kwa tsh itakuwa ni shilingi ngapi nenda google andika dollar 1000 to tsh
 
Hujaeleweka vizuri mzee.

$1000 ni Dollar elfu moja. Au umeona price tag kwenye kifaa ndio huelewi inamaanisha nini? Kama ndio basi jua bila kuwa na hela hiyo dollar 1000 huwezo kukipata. Ukibadili hicho kiasi kuja kwenye shillingi ni sawa na millioni mbili na ushee
 
Hebu funguka mkuu ila hiyo $1000 ni sawa na dollar 1000 ukitaka kuiangalia kwa tsh itakuwa ni shilingi ngapi nenda google andika dollar 1000 to tsh
Ni 2,200,000 million mkuu.. Ndo bei ya kifaa hiki
IMG_20180804_141823.jpg
 
Nilikiokota hiki kifaa ndipo nikaulizia beiyake.. Nikaona Si mbaya nikapata MSAADA Wa ujuzi.....lakini nimeona kinathamani....
IMG_20180804_141818.jpg
 
Ni lensi inayokuza (magnifier). Unaweza kutumia mchanganyiko wowote (different combination)
 
Back
Top Bottom