Msaada.

Sijataka maswal nimeomb msaada kama huez unapiga kimya ndugu!
 
Huku watu hawauzi sura kama fesibuku
 
Najaribu kuweka profile picture katik acc.yangu jamii forum nashindwa naomba mnisaidie.
Ingia kwenye profile. Click hiyo D. Upload new profile picture. Taratibu zile zile kama WhatsApp. Karibu sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…