Mndengereko One
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 340
- 243
Nina tatizo kwenye uume wangu kwenye njia ya mkojo nikibinya kuna maumivu nayasikia na yaliaza kama miaka mitano iliyopita nimeuzuria hospital Mara kwa Mara wakaniambia kutakuwa na bacteria wakanipa dawa inaitwa noflocaxilin nikatumia maumivu yakapotea kwa muda na kurudi tena nikachoma powerself lakini tatizo bado
na nilijaribu wale jamaa wa vipimo vya kushika mkononi na inakuscan mwili mzima inaonekana kwenye laptop walio connect wameniambia na vidonda vimekwenda mpaka kwenye korodani
naomba msaada mtu mwenyekuweza kufahamu tatizo hili