Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 564
hospitali ya kwanza ulionana na daktari?Madoctor naomba mnisaidie hili,mwanangu jana alikuwa anachemka nikampeleka hospital wakampima wakasem hana homa wala U.T.I nikarudi nae nyumbani,sasa leo asubh akaanza kuchemka tena nikamchukua nikasema ngoja nibadilishe hospital nyingine kumpeleka wamempima wamekuta anamalaria 4,sasa naomba kujua huwa nn kinatokea mpka hospital hii wakute ugonjwa then hospital nyingine hawajakuta ugonjwa?
kwani huko mwanzo walimpima na malaria? au nini tafsiri ya homa?Ni mtoto wa miaka 3,nimeonana na Dr baada ya maelezo ndio nikaenda maabara kumpima then majibu yakaja haumwi chochote