Msaada

Tomasi Sankara

Senior Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
130
Reaction score
73
Naombeni msaada wana jf.

mwezi mmjo uliopita niliumia mkono ( kuanguka) kwenye maungio kati ya mkono na kiganja picha iyo apo chini pamoja na X ray nilienda hospital wakanifunga p.o.p sasa Jana nimetolewa nakukuta mkono ukiwa umebadilika na uko tofauti yani bado aujakaa vizuli na unauma picha iyo apo chini kama kuna MTU ana uzoefu na mkono au anadawa anaweza kunisaidia
 
Pole UNGEKUWA Kanda ya Kati ningekushauri uende HOSPITALI YA PUMA ILIYOPO SINGIDA NI BORA HATA MOI SIFANANISHI NAPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…