MSAADA

MSAADA

Scorpa

Member
Joined
Jun 23, 2019
Posts
55
Reaction score
24
Mwili kuwaka Moto, kuhisi vitu vina tembea na kuchomachoama choma mwilini pia kukakamaa kwa shingo na baazi ya maumivu ya viungo vya mwili. Tatizo hili husababishwa na nn?
 
unajishughulisha na nini ktk shughuli zako za kila siku chief?

nenda hospitali kawaone wataalamu wa viungo na misuli (physiotherapist),
 
Shughur zangu mi Ni mwalimu.lakini pima Ni mdau mkubwa Sana wa mazoezi ya viungo... Ilikua kila siku asubuh lazima nipige push up 200. Lakini saizi nimeacha tokea hili tatizo linipate. Kwani nikifanya mazoezi ya push up.. nasikia shingo linakaza arafu na uku nyuma kwenye mabega Kuna uma Sana.

Pia nikicheza mpira au mazoezi ya pumzi Sana nasikia Koo limekauka ghafra ata Kisha naskia Kama Kuna kitu kimenata kooni nikimeza mate kanatokq afu kanarudi...

Pia nikihema kwa mdomo kuvuta pumzi ndani ndio panakauka zaidi.mpaka nimeacha na kucheza mpira kwanza
 
mh
 
Back
Top Bottom