B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,443
- 3,002
habari ma greater thinker...kunakaogonjwaa kamenianza kamaa wiki moja hivi,nikienda haja ndogo na hisi kamaa kuna maumivu flani hivii yanatokea kwenye tundu la uume.niki kunguta kunguta uume kusafisha haja ndogo maumivu yana kuwa kama muwasho.ilaa hayachukui mda kutuliaa.je huo unaweza ukawa ugonjwa wa zinaaa,maana sinaa outside effect yoyote.ni hayo tu