Habarini ndugu.
Naomba Kama kunamtumishi wa Aghakani ya mwanza ama Kuna mtu anaifahamu gharama za pale husipitali hasa kwenye vitengo vya ENT Anijuze au nipate mawasiliano yake maana nimesumbuka Sanaa ila nimeambiwa suhurisho liko pale Soo kabla sijafunga Safari kuja mwanza nilitaka nipate ABC kidogo maana Sina BIMA... Nataka nione Kama hizo gharama naweza mudu... Ahsante.