Tetesi: MSAADA

Nakulapochi Mtoto

New Member
Joined
Jul 12, 2019
Posts
2
Reaction score
0
Nimeomba chuo fulani lakini nilipoangalia tena taarifa zangu baada ya kufanya submission nikakuta kwamba nimekosea tarehe ya kuzaliwa(nimechanganya mwezi na tarehe). Lakini kwenye kipengere cha ATTACHMENTS hawajahitaji cheti cha kuzaliwa. Je, hii haiwezi kupelekea kukataliwa kwa maombi yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…