Msaada

Bambara

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
12
Reaction score
1
Bei ya pikipiki aina ya kinglion na sunLG
kwa anayejua pls
 
Nenda dukani mkuu maduka yapo mengi sana yanauza pikipiki..
Au upo porini
Unataka used au mpya.
Used haina bei kamili
Mpya anadaa million 2
 
Nenda dukani mkuu maduka yapo mengi sana yanauza pikipiki..
Au upo porini
Unataka used au mpya.
Used haina bei kamili
Mpya anadaa million 2
Niko porin ,ndo mana nilitaka kujua bei mkuu
Asante kwa ushaur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…