exaudjoshua
Member
- Aug 13, 2011
- 9
- 0
Mkuu, mpaka magoti yanauna na unakiri ute magotini umekwisha!ninamwenzangu ambaye yeye hayupo jf na ameniomba niliwasilishe hili kama anaweza kupata ushauri.Anaomba kujua jinsi atakavyoweza kuacha kufanya punyeto anatamani kuwacha lakini bado inakuwa ngumu,na pia ameanza kusikia maumivu kwenye magoti na anapo chuchuma yanalia kama vile ute umekwisha kwenye magoti je na hilo pia linasababishwa na punyeto?He needs your help.
<br />jamani wana jf mliokwisha changia mada hi na mmtakao chagia,this is real issue wapo vijana wengi sana ambao wamejikita kwenye hili tendo nipo nao mtaani na wanalalamika sana hasa pale tunapo kuwa mazoezini.Na wapo ambao wapo jf ambao wanafanya kitu hiki na waetungia jina wanaita CHAPUTA.So they need the real advise and not the jokes.I need u a suport on this.