Msaada

Msaada

Misstarime

New Member
Joined
Oct 21, 2019
Posts
2
Reaction score
1
Habari,

Naomba kuuliza kuhusu erolink kama bado wanamkataba na Voda na pia ofisi zao kwa sasa zipo wapi. Pia, naomba mnisaidie kujua ofisi za Tigo,Voda na Airtel wanapopokea CV.
 
Kitambo sana walishatoka voda tangu 2017, wakaingia vichomi zaidi ya erolink [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitambo sana walishatoka voda tangu 2017, wakaingia vichomi zaidi ya erolink [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom