M mwambene Member Joined Jul 16, 2011 Posts 5 Reaction score 0 Sep 22, 2011 #1 Nawaomba wenazangu tuliochaguliwa chuo kikuu cha bagamoyo kwa kozi ya education hasa wale wa awamu ya pili ninaomba sana tuwasiliane kwa namba 0782495588 au 0767495589 na 0714495588. Ili tuweze fanya mazungumzo ya pamoja. Ni muhimu sana.
Nawaomba wenazangu tuliochaguliwa chuo kikuu cha bagamoyo kwa kozi ya education hasa wale wa awamu ya pili ninaomba sana tuwasiliane kwa namba 0782495588 au 0767495589 na 0714495588. Ili tuweze fanya mazungumzo ya pamoja. Ni muhimu sana.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Sep 22, 2011 #2 Mazungumzo gan hayo,ebu yaweke hapa kwa manufaa ya umma,mcje mkawa mwataka kumuua jk bure?