Biashara ina maana pana sana ndugu. Kuna;
1. Masoko/marketing
2. Ununuzi/procurement
3.uanzishwaji wbiashara/how to start a venture
4. Uhasibu
5. Uzalishaji
6. Usambazaji/distribution
etc
kwahiyo wewe sema wataka kujifunza nini. Be a bit specific ndugu yangu.
We learn, you learn as well isn't it??