Mundele Makusu1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,629
- 3,728
Andika vizuri usaidiwe hizo kozi ni tatu, mbili au moja.Habari wakubwa,mm ni kjn niliehitimu kidato cha sita kuna kozi ya bachelor of economic. Policy and planning ninaomba ushauri wa mbinu,mawazo kuhusu kozi hii.na kazi gani anazoweza fanya kjn anaesomea kozi hii???
Nashukuru boss,kozi yenyewe inaitwa bachelor of science in economics policy and planning (EPP)Andika vizuri usaidiwe hizo kozi ni tatu, mbili au moja.
Ukitofautisha nitakuja kukushauri hasa katika uwanja wa uchumi.
Sawa hiyo mimi si mtaalamu sana kwenye eneo hilo hapo ingekaa economics pekee ningepata pakuanzia.Nashukuru boss,kozi yenyewe inaitwa bachelor of science in economics policy and planning (EPP)
Ahaaaa nashukuru mkuu,naomba UFAfanuzi pia ata kuhusu hio kozi ya uchumi in general kuna vitu kidogo naweza pata na vingine vikawa funzo kwa vijana wengine watakaosomea kozi hio baadae na jamii nzima kiujumlaSawa hiyo mimi si mtaalamu sana kwenye eneo hilo hapo ingekaa economics pekee ningepata pakuanzia.
Kiukweli kozi ipo vizuri kwenye maisha ya sasa na inatumika sana.Ahaaaa nashukuru mkuu,naomba UFAfanuzi pia ata kuhusu hio kozi ya uchumi in general kuna vitu kidogo naweza pata na vingine vikawa funzo kwa vijana wengine watakaosomea kozi hio baadae na jamii nzima kiujumla