Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,009 Reaction score 60,629 Nov 21, 2011 Thread starter #61 UmkhontoweSizwe said: We Lizzy unakuwa kama hujui methali za kiswahili; Mgeni njoo mwenyeji aponeepo". Click to expand... Ilitakiwa iwe ''mgeni njoo mwenyeji ajitume'' maana nlivyozoea wenyeji ndo hua wanachinjia mgeni kuku...ila siku hizi huko mijini eti mgeni ndo aje na kilo ya nyama na mchele atakaokula!!
UmkhontoweSizwe said: We Lizzy unakuwa kama hujui methali za kiswahili; Mgeni njoo mwenyeji aponeepo". Click to expand... Ilitakiwa iwe ''mgeni njoo mwenyeji ajitume'' maana nlivyozoea wenyeji ndo hua wanachinjia mgeni kuku...ila siku hizi huko mijini eti mgeni ndo aje na kilo ya nyama na mchele atakaokula!!