Msaada

kasopa

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2010
Posts
303
Reaction score
57
Heshime kwenu wakuu na swali hivi hapa Dar sehem gani kuna clab ya Yoga na pili hivi kuna faida ngapi ukiwa unafanya yoga kifupi nimeona kipindi kwenye TV capital inimeona katika mazoezi yanayo nifaa ni yoga kwakuwa hufayika taratibu sana na hutumii nguvu sana kama mazoezi menginene yoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…