Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
Pascal Mayalla anaweza kuwa na majibu sahihi maana huyu Ni mwanasheria ngululi wa ccmHabari wakuu.
Kuna mtu anataka kusoma sheria. Awali ana bachelor ya education. Anataka kusoma Postgraduate diploma of law pale OUT. ALAFU ASOME LLM. HAPO HAPO.
SWALI LANGU KWENU WADAU. JE ANAWEZA KUSOMA SCHOOL OF LAW YA TANZANIA?
MSAADA WA HARAKA TAFADHALI
Asante kuni tag.Pascal Mayalla anaweza kuwa na majibu sahihi maana huyu Ni mwanasheria ngululi wa ccm
Mtu yoyote aliyesoma fani yoyote, yuko huru kusomea sheria. Ila kusoma sheria ili uwe mwanasheria ni lazima usome LL.B. Kusemea degree nyingine yoyote halafu ukafanya post graduate ya law hata ukifanya LL.M na kisha Ph.D, bado hauwi mwana sheria. Kuwa mwanasheria ni lazima LL.B, kuwa daktari ni lazima MD, kuwa Account ni lazima CPA etc.Habari wakuu.
Kuna mtu anataka kusoma sheria. Awali ana bachelor ya education. Anataka kusoma Postgraduate diploma of law pale OUT. ALAFU ASOME LLM. HAPO HAPO.
Huwezi kusoma school of law bila LL.B!SWALI LANGU KWENU WADAU. JE ANAWEZA KUSOMA SCHOOL OF LAW YA TANZANIA?
Haraka unawahi wapi?. Huwezi kuwahi kujiunga LL.B popote in Tanzania mwezi huu, subiri next year. Lakini kwa post graduate unaweza kuiwahi January intake.MSAADA WA HARAKA TAFADHALI