Msaada

Msaada

marida

Senior Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
168
Reaction score
20
Vitu gani nifanye nimsahau boyfriend wangu wa zamani.kila saa najikuta nampigia simu,na mtumia text.nifanyaje waugwana?.Uzalendo umenishinda.
 
tafuta wawili wapya
ile kuwapangia ratiba wasigongane huwa ni shughuli nayo.
 
Tafuta kazi ya kukufanya uwe bize na usiendekeze.

NB: Penzi kiti cha basi
 
kama wewe ndio ulimpiga kibuti, gangamala tu usirudie matapishi... kama ni the other way round, kajisalimishe omba msamaha mrudiane
 
Ushapewa ofa hapo juu (PM,text,calls) ITUMIE.
 
Ebu ni PM tuliongelee hli suala kiundani.
 
Back
Top Bottom