S Saas JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 268 Reaction score 76 Jan 9, 2012 #1 Habari wakuu najua hapa JF hasa hili Jukwaa la JF Doctor kuna hazina kubwa tu ya information ningependa kufahamu wapi naweza kupata Dermatologist mzuri hapa Dar Es Salaam. Kwa anayefahamu atakuwa amenisaidia sana, natanguliza shukrani zangu.
Habari wakuu najua hapa JF hasa hili Jukwaa la JF Doctor kuna hazina kubwa tu ya information ningependa kufahamu wapi naweza kupata Dermatologist mzuri hapa Dar Es Salaam. Kwa anayefahamu atakuwa amenisaidia sana, natanguliza shukrani zangu.