Msaada

Msaada

KANCHI

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2011
Posts
1,532
Reaction score
230
Wana jf me nimepangiwa na ministry of education DSM halmashauri ya kinondoni wazee nipeni bac direction ya kufika hapo maana dar me mgeni japo c saana.
Thanks!
 
Itakuwa ni pale Magomeni Usalama ukitokea Ubungo ukitelemka tembea kidogo kama unaenda Kwenye mataa utaona geti kuubwaa ndo hapo hapo opposite na Hotel ya Trav.
 
Back
Top Bottom