Mohamed mkami
Member
- May 7, 2022
- 51
- 85
Habari wakuu natumai mko poa kabisa
Moja kwa moja Nataka kujua kuhusu viwanda vya kutengeneza machine mbali mbali za ujenzi mfano zile za kuchanganya zege (za umeme) vilivyopo hapa (home land)
Natanguliza Shukran.