mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,780
- 3,733
Hello WanajF Tech, naomba mnisaidie hili suala mbele yenu niko na Samsung A04S nina takribani mwezi sasa nikitaka kupiga Picha napewa notofications Warning Camera Failed nimejaribu Kugoogle sana napewa solutions nafanya but nothing working naenda Youtube nasukiliza sana demo nafanya ila mambo bado magumu sana sana naomba mnisaidie hii kitu inanitesa sana kuna muda nataka niwe na Picha ili iweze rahisisha shughuli zangu ila nakwama kabisa kwa wataalamu humu naombeni msaada wenu