ni wazo zuri lakini ajaribu kufanya hayo niliyomshauriPeleka Samsung service center watasolve
yah maana kuna sehemu kagusa hawezi kuparudiaFormat factory hapo
Sasa Mungu anahusika vipi kwenye tatizo la kamera ya simu?kwanza nenda ktk main setting alafu uende system update na uapdate system ya simu na Mungu akipenda yaweza kutatua changamoto yako,kwanza tizama last update ni lini? Na ikiwa ni zaidi ya miezi mitatu ujue tatizo linaanzia hapo hyo ni misbehaviour
Niliupdate baada ya kipindi kirefu kidogo ikawa OK kwa siku moja tu ikarudi tena hapo mkuukwanza nenda ktk main setting alafu uende system update na uapdate system ya simu na Mungu akipenda yaweza kutatua changamoto yako,kwanza tizama last update ni lini? Na ikiwa ni zaidi ya miezi mitatu ujue tatizo linaanzia hapo hyo ni misbehaviour
Hiyo shida kuwa solved ni hadi ikapigwe software upya ndio inapona apeleke service center kwa utatuzi wa harakani wazo zuri lakini ajaribu kufanya hayo niliyomshauri
unadhani nipo ktk kukupa jibu hasi? Kamwe sitafika uko ila tambua ktk upande wangu imani yangu inanitaka pamoja na uelewa wangu Mungu namtanguliza na wala sikulazimishi wewe kukubaliana na hili au kuufata ujinga wangu,ukawe na siku yenye baraka ndugu!Sasa Mungu anahusika vipi kwenye tatizo la kamera ya simu?
Eti Mungu akipenda yaweza kutatua changamoto!
Hiyo simu haihitajiki imani kutatua hilo tatizo lake.
Hilo ni swala la kiufundi siyo kimiujiza