Msaada

Mgumu04

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
1,940
Reaction score
1,055
Jamani mimi ni mwanafunzi wa udom ila sina loan mwenye uwezo naomba anisaidie kwani maisha ya chuo ni magumu bila mkopo
 
Ni kweli ila kama jina lako endelea kuwa MGUMU tu mambo yatakaa sawa at the end!
 
yaan hapo unatakiwa ujitoe mhanga kwan mkopo ni haki yako ka mtz.kinachoumiza zaidi kuna mbwa wa mawaziri na wabunge wana2mia zaid ya elfu kumi tz. pigania haki yako mpaka kieleweke. revolution 4 .............................,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,..............................????????????????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…