poleni na majukumu yooote, habari za masiku tele, naombeni msaada wapi naweza kwenda ( dar) kwa mashindano kama ya kuogelea, cycling, or running event, please like kila week or mwezi, au kama unajua wapi wanahusika na hizo events.
Mbarikiwe sana.......
Huo muda unatoa wap mwenzetu?
Duh! Na wewe muda wa kula makange na kunywa bia unautoa wapi? In short ukisoma ameandika japo mara kadhaa kwa wiki au kwa mwezi.
Nenda Leaders weekdays jioni&weekend asubuhi utawakuta wa2 kwa ajili ya mazoez ya kukimbia,kuogelea nafahamu kwa UDSM pale Swimmin pool utawakuta wa2 wakushindana na training pia,tennis&golf gymkhana pale town pia. Mazoez mema rafiki.