U Uparo Member Joined May 4, 2012 Posts 55 Reaction score 9 Jun 3, 2012 #1 Wakuu naombeni msaada wa ushauri kwa mtaji wa tsh laki tatu naweza kufanya biashara gani yenye kulipa kwa mda mfupi hata kama ni ya uchuuzi kwani msingi wangu ndipo ulipo na namatumaini ya kuukuza pale nitakapopata biashara.nipo dar
Wakuu naombeni msaada wa ushauri kwa mtaji wa tsh laki tatu naweza kufanya biashara gani yenye kulipa kwa mda mfupi hata kama ni ya uchuuzi kwani msingi wangu ndipo ulipo na namatumaini ya kuukuza pale nitakapopata biashara.nipo dar