msaada

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
jamani ma dr,naomba msaada,kuna rafiki yangu anampdnzi anataka kumchumbia,lakni mpenzi wake alimwamaia kuwa kafanyiwa fgm.female genital multilation yaan amekeketw,na huwa nasikia huwa hawapati hisia za kuwa na mwanaume,je ni kweli huwa hawapati hisia?,maana anaogopa isije ikawa shida ndani ya ndoa.msaada dr.maana anasema hawajawah fanya mapenzi.
 
Si bora huyo Rafiki yako au kama ni wewe mwenyewe atafute Mchumba mwingine yanini kuwa na mchumba ambaye hajisikii kuwa na hamu ya mwanamme?.@Danp36
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…