mkuu yoye hayo nimefanya barua nilizo enda kuombea zimetoka chuo sina kila kiyu ambacho kinaonywesha mimi ni mwanafunzi wa bale na shida yangu nii mean zina maelezo yote mkuu basi tuu sasa hivi sijui kwanini wanasumbua sana hadi kiasi hiki.Pole sana;
Wewe fikiria unataka kufanyia wapi, then mwambie mwalimu wako awandikie barua na kua dress pale ambako unaona kunafaa kufanyia post au peleka iyo barua, wapatie watakubali tu.Just write a letter to the organisation ur intending to make practical,obviuosly they will call u.Chamsingi kabisa ni kwamba barua itoke chuoni kwa mkuu wa chuo na kwenda moja kwa moja kwa pale unadhani kunafaa kufanyia practical.Bila hivyo makampuni mengi hasa binafisi siku hizi hayapendi sana wanafunzi kabisaaaa.Nadhani wanafunzi wengi hawana behaviour nzuri hasa pale wanapofanyia field zao, kwahiyo wenye makampuni wengi wanawakataa siku hizi.
Na ukienda fanya kazi moja kwamoja kila siku, sio unaenda leo kesho huendi,ukitegemea fulani atakupa madesa, mwenye kampuni atakasirika sana.
Uho ndo ushauri wangu.
bongo nuksi wanatosa mpaka field alafu ukimalia wanakuja kusema hufai maana hujui kazi kwa vitendo.....mimi nimepeleka barua miezi mitatu before mean kabla ya kufunga chuo
na nimepeleka sehemu zaidi ya nane so sasa hv ni kujuana na kubaniana
kuna ofisi mmoja walinipa paper bado wakaniita kwenye interview kwa
ajili ya field tuu na bado wakanitosa na kote kwenye test yao pamoja
na interview nimefanya vizuri hii nchi sijui inaenda wapi?
mimi nimepeleka barua miezi mitatu before mean kabla ya kufunga chuo
na nimepeleka sehemu zaidi ya nane so sasa hv ni kujuana na kubaniana
kuna ofisi mmoja walinipa paper bado wakaniita kwenye interview kwa
ajili ya field tuu na bado wakanitosa na kote kwenye test yao pamoja
na interview nimefanya vizuri hii nchi sijui inaenda wapi?