msaada

Professor of jungle

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
422
Reaction score
802
nimechaguliwa UDOM mwaka huu nimepewa na mkopo ila coz sijaipenda nimeshafanya na usaili nimelipa na baadh ya fees niliyohitaji kuchangia ila nataka niachane na chuo je mwakani application itakubali ? na mkopo nitapata?
 
yeah unaweza ukaenda TCU ukaandika barua ya kucancel admission yako pia ukienda Loan board watakutaka urudishe kwanza 80% ya loan ambayo wamekupatia ndo wakupe mpya kwa mwakani!!!
but tatizo ni kwamba hawa watu wa loan board hawatabiriki vigezo vinaweza vikabadilika mwakani ukaambiwa haujaqualify kupata loan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…