F fluid JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 363 Reaction score 236 Nov 26, 2012 #1 jamani wana jf mimi nina nyumba yangu ila sasa, jirani yangu kafungua bar.na kaanza kupiga live band.yani sauti.lote linaingia kwangu..je kisheria hii ni sawa?
jamani wana jf mimi nina nyumba yangu ila sasa, jirani yangu kafungua bar.na kaanza kupiga live band.yani sauti.lote linaingia kwangu..je kisheria hii ni sawa?