msaada

Joined
Dec 2, 2012
Posts
67
Reaction score
21
jamani naomba msaada wa kutatuliwa hili tatizo langu'mm wakati wa kujaribu kufany mapenz lakin baadae nikaghair kufanya mbon kweny koro naumia naomba msaada.
 
jamani naomba msaada wa kutatuliwa hili tatizo langu'mm wakati wa kujaribu kufany mapenz lakin baadae nikaghair kufanya mbon kweny koro naumia naomba msaada.

Ni kwasababu umeitamanisha halafu hujaipa hiyo kitu. Hebu fikiria inakuwaje pale mtu unapomkuta anakula msosi wa kuvutia halafu hakukaribishi huwa inakuwaje?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Lol, umekosea jukwaa. Piga nyeto au chuchumaa unaweza kuweka kitu baridi pia. Anyway itapita baada ya muda mchache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…